Makamu wa Rais,Dk,Mohammed Gharib Bilal,(wa pili kushoto walioinama) na Jaji Mkuu,Augustino Ramadhani,(kushoto) wakiangalia Kompyuta wakati wa Uzinduzi wa Mfumo wa kurekodi mashauri Mahakamani kwa Kompyuta na Tovuti ya Mahakama Kuu Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani. (Picha na Yusuf Badi) |
No comments:
Post a Comment