ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 27, 2010

YALIYOJIRI SHOO YA TIGO COCO BEACH X-MAS

Wasanii wa Tip Top Connection, Dogo Janja (kulia) na Madee wakifanya vitu vyao wakati wa promosheni ya Piga simu bure usiku Tigo kwenda Tigo baada ya dakika ya kwanza kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi kwenye viwanja vya Coco Beach, Dar es Salaam siku ya X-mas.
Madee akifanya makamuzi yake
Wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi ya the African Stars ‘Twanga Pepeta’ Bakari Kisongo (kushoto) na Otilia Borniface wakionyesha jinsi ya kucheza kiitikio cha ‘Nipo Bize Usinitafute’ wakati wa onyesho hilo.
DJ P-Q akifanya maujanja yake wakati wa onyesho hilo, pembeni ni Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando akisikiliza kwa makini kazi ya DJ huyo wakati wa onyesho hilo.

PICHA: Peter Mgongo/Tigo na hisani ya GPL

No comments: