Pamoja na jua kuwaka sana jana kwa kiwango cha nyuzi 53F mambo bado si shwari kama inavyoonekana hapa kwenye picha na leo alhamisi Feb 3,2011 kiwango hicho kimeshuka mpaka nyuzi 35F
Hali hii ilisababisha miti mingi kuanguka kama inavyoonekana kwenye U-kodak mti huu ukiwa umeangukia Gari hii ya VW Jetta kama ilivyokutwa na Camera ya Vijimambo mtaa wa Wendell uliopo Silver Spring,Maryland.
No comments:
Post a Comment