Juu na chini ni DC Nyalugusu wakiwa kwenye mazoezi makali chini kocha Jabir Jongo leo Jumanne June 14,2011 na wamesema mazoezi yapo kila siku uwanja upo
Rosa L Parks Elementary School,
6111 Ager Road,
Hyattsville,MD
Kila mtu anakaribishwa Mazoezi yanaanza saa 1:00jioni(7:00pm)
No comments:
Post a Comment