ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 20, 2011

FATMA GHARIB BILAL ATEULIWA KATIBU MKUU - WIZARA YA USTAWI WA JAMII, MAENDLEO YA VIJANA WANAWAKE NA WATOTO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akimuapisha Fatma Gharib Bilal,kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Vijana,Wanawake na Watoto,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.
MAALIM SEIF AFUNGUA MADRASA TOMONDO
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na walimu, wazee na wanafunzi wa Madrasatul Qaadiriyatul Iman kwenye ufunguzi wa Madrasa hiyo iliyopo Tomondo. (Picha na Salmin Said).
Habari kwa hisani ya Othman Maulid Blog

No comments: