ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 11, 2011

Hii ilikua timu ya Sigara Enzi hizo

Nashukuru wadau kwa kujaribu hii ni timu ya Sigara enzi hizo
kutoka kushoto,ni JOSEPH KATUBA,SULEIMAN MKATI, MMANGA RASHID, EMMA PETER, ABDALLAH MSAMBA,JULIUS MWAKATIKA, LADISLAUS SHAWA, na KAINGILILA MAUFI(PICHA kwa hisani ya Hadji Helper)

2 comments:

Samson Mwasakafyuka Ndwanga said...
This comment has been removed by the author.
Samson Mwasakafyuka Ndwanga said...

baada ya Katuba alieSIMAMA Mikono nyuma si Seleman Mkati , huyu ni Kiungo mtanashati alikua anaitwa Abunu ISSA MKAZI WA Kigogo