gari la rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar marehemu Abeid Amani Karume tangu 1964-72 ambalo limeifadhiwa katika Jumba la Makumbusho linalojulikana kama House of Wonder lililopo maeneo ya Forodhani mjini Unguja.
baadhi ya mavazi yaliokuwa yakivaliwa zamani ambayo yamehifadhiwa kwenye jumba hilo. (House Wonder)
Marikebu ya kwanza iliyotumika visiwani Zanzibar ambayo nayo imehifadhiwa katika jumba hilo
PICHA: Imelda Mtema - Zanzibar/GPL
No comments:
Post a Comment