Mandhari na harakati za kila siku katika eneo hili la Darajani Mjini Zanzibar, kama linavyoonekana pichani wakati wa kazi asubuhi ndivyo linavyokuwa na pirika pirika za hapa na pale na msongamano wa watu wakiwa katika shufghuli zao.
MFANYABIASHARA ya Madafu akiwa katika mzunguko wa kutafuta wateja wa bidhaa hiyo jana akiwa eneo la darajani, dafu moja huuza shillingi 500/=. (Picha na Othman Maulid)
No comments:
Post a Comment