ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 15, 2011

Its Lady Jay Dee Birthday today 15 June
Ni siku yake ya kuzaliwa, anajivunia na kumshukuru Mungu kwa kumpa nguvu mama yake Martha Mbibo kumhifadhi tumboni, kumleta duniani kumlea na kumfunza ujasiri na ustahamilivu mpaka leo yupo hapa alipopo kwaajili ya busara zake. 

Anampendaga sana Mama yake
Vijimambo Wishing you all the great things in life, hope this day will bring you an extra share of all that makes you happiest.Happy Birthday

No comments: