ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 23, 2011

Kapitali ina mambo

Hii ni Boti Gari lenye uwezo wa kutembea Majini na Nchi kavu mambo haya nilikua nayaona kwenye sinema za Bond lakini Washington,DC ndio magari yatumiwayo kutembeza watalii wanaotembelea DC 

1 comment:

Anonymous said...

Ok, Brother kaka. Kumbe una ndugu halafu huwa unadai kuwa uko peke yako huku ughaibuni. Sasa najua walipo nitaendaga kuwasalimia. Hongera kwa kuwa na ndugu hapa ughaibuni.