wapambe wake Bwana harusi wakiwa tayari kwenda kushuhudia kiapo cha "I DO"
Wapambe wake Bi Harusi nao wapo tayari kumshuhudia Bi Harusi akila Kiapoa cha "I DO"
Wapambe wa Bibi na Bwana harusi wakisogea kuhakikisha kiapo cha"I DO"akikwepeki
Juu na chini ni Bi na Bwana Harusi angalia wanavyomeremeta
Bi Harusi na Bwana harusi wakiwa tayari kusherehekea harusi yao iliyofanyika ufukweni na ndani ya hema maalum kwa harusi hii
John na Mary wakijiandaa kula keki
Juu na chini John na Mary wakilishana keki kwa staili yao sijawahi ona hii Babu kubwa
Juu na chini ni Bi harusi akipata U-kodak na wageni waalikwa
Kwa picha zaidi Bonyeza Read More
No comments:
Post a Comment