ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 21, 2011

mwakilishi wa Vijimambo New York City,NY Ebra Atua Kapitali

 NY Ebra Alikuwa DMV wknd yote Na mwenyeji wake AJ Ubao wakitengeneza Music Video Itakayo julikana kwa jina la MAISHA YANGU, Aj Obao ni Msanii anae fanya vyema katika Nyannja ya music wa bongo Flavor kwa hapa USA. Aj Ubao kwa sasa anatamba na video yake inaejulikana kwa jina la kwaheri. Video Music hiyo ilikuwa inashootiwa na kija mdogo kabisa lkn ni star wa Reality show ya GROWN UP AFRICA, anaejilikana kwa jina la Johnson Lujwagana na ikisimamiwa na DMK, DMKGLOBAL.

No comments: