| Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari ya Kambangwa iliyopo Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Shamma Abdul Aziz, (kushoto) akimwelezea kwa vitendo Meya wa Manispaa hiyo, Yusuf Mwenda namna ya utanukaji wa chuma kwa kutumia kifaa maalumu cha Bunsen Burner wakati Meya huyo alipofanya ziara shuleni hapo kuona maendeleo na changamoto zinazoikabili shule hiyo, Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Lucy Gurutu. (Picha na Fadhili Akida). |
No comments:
Post a Comment