ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 14, 2011

Salamu kutoka Atlanta,GA

 picha juu ni Leyla mtoto wa dada yetu Linda akionyesha jinsi gani alivyokua shabiki mkubwa wa LA LAKERS
Linda akisalimia wadau wote wa Vijimambo sasa hivi yupo mzima na anaendelea vyema na Ulezi wa mwanae
 Linda akiwa na kadogoo wake

No comments: