ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 21, 2011

Shughuli hii ni ya aina yake mwaka huu, itatanguliwa na Muziki wa hali ya juu Siku ya Ijumaa Usiku July 1,2011 kutoka kwa D.J Eddie akishirikiana na DJ Luke kutoka DC,bila kusahau dj waalikwa Dj Paul Masoud Dj Samora DJ Richmaka Address 
54 state st 
Lynn MA 
8PM To 1 AM

No comments: