Mh Balozi Omben Sefue akimkaribisha Mh Makamu wa Rais Dr Mohamed Bilal katika mkutano huo uliofanya nyumbani kwa balozi Mt veron New York
Watanzania waishio New york na vitongoji vyake walipata nafasi ya kujua mawili machache juu ya maendeleo ya Nchi yetu na kuuliza maswali juu ya mikakati gani serikali yetu inafanya juu ya kutatua kero za walipa kodi Mh makamu wa rais Dr Mohamed Bilal alijibu maswali hayo kwa kujiamini na kuwafanya Watanzania waliohuzulia mkutano hawakusita kupigia makofi kwa kurizika na majibu yake
Mh makamu wa rais Dr Mohamed Bilal alijibu maswali hayo kwa kujiamini na kuwa fanya watanzania waliohuzulia mkutano awakusita kupigia makofi kwa kulizika na majibu yake.
Mh.Makamu wa Rais akiongea mawili matatu na baadhi ya viongozi na wanajumuia New York
Mh makamu wa rais alipata nafasi ya kutambulishwa viongozi waliochagulia katika kuingoza jumuia ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake na kupiga picha nao
Mh.Makamu wa Rais akipiga picha na wadau New York picha kwa hisani ya mdau wa
glob ya hii....Ny Ebra!
No comments:
Post a Comment