ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 12, 2011

BALOZI AMINA SALUM ALI NA MPANGO WA MAENDELEO TANZANIA

Hivi Majuzi mwakilishi wa Umoja wa AfriKa (African Union) nchini Marekani alitembelea Ikulu ya Tanzania ambapo alikutana na Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete
ili kumpa mhutasari wa mpango kabambe wa kuwavutia wawekezaji nchini Tanzania na bara zima la Afrika katika mchakato wa maendeleo. Timu ya Vijimambo nayo ilikuwepo kuchukua picha za kumbukumbu hii ya kihistoria.

No comments: