ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 12, 2011

Mr TZ Feat Jr-Careless Whispers


Vijana chipukizi katika muziki wa kizazi kipya macousin Mr TZ na Jr wakiunda kundi la J2 wako ndani ya studio kutoa mpya za summer hii. Onja kidogo hapa remix ya Careless Whispers (kinda reminds you of PM Dawn for those oldschoolers)

1 comment:

Anonymous said...

Of all the songs they've written and produce this is my favorite

Love it Love
Aunty Amina