ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 12, 2011

Muuguzi wa Hosipitali ya CCBRT kitengo cha wagonjwa wa Fistula, Emelda Lweno akimwonesha mjumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Huduma kwa Jamii wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodafone ya nchini Uingereza, Elizabeth Filkin wanawake wenye ugonjwa huo ambao matibabu yake yanafadhiliwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania wakati wa ziara yake hospitalini hapo. (Na Mpigapicha Wetu).

No comments: