ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 26, 2011

HITMA YA MINA JUMAPILI SEPT 25,2011 @ TABEER RESTAURANT,MARYLAND

Vitabu vya hitma pamoja na mirashi udi na chetezo kwa ajili ya Hitma ya Marehemu Mina iliosomwa leo Jumapili Sep 25,2011 katika ukumbi wa Tabeer Restaurant uliopo East Hyattsville Maryland nchini Marekani

Sheikh Abbas akitoa mawaidha mawili matatu kwa waliojitokeza kwenye kisomo hicho

Kina dada wengi kupita kiasi walijitokeza kwa ajili ya kumuombea dua ndugu yao mpendwa marehemu Mina

Kina baba nao hawakuwa nyuma katika kisomo cha kumuombea ndugu yao mpendwa Marehemu Mina kilichosomwa leo Jumapili Sep 25,2011 katika ukumbi wa Tabeer Restaurant uliopo East Hyattsville Maryland nchini Marekani

Watu mbali mbali kutoka kila pembe ya Marekani na Tanzania wakiwa kwenye hitma ya mina iliyofanyika Langley park
kama unavyoona jinsi gani watu walivyojaa kwenye hitma ya Mina

huu ni sehemu waliokaa akina mama na watoto picha chini ni maswala ya chakula

















ndugu,jamaa na marafiki wa Mina wakipata picha ya kumbu kumbu
(Picha kwa hisani ya Swahili Villa Blog)

No comments: