Bonge la kiss
Boti inayoitwa caversham Princess ikiwasubiri maarusi tayari kwa ajili ya sherehe
Bwana Harusi akiweka Sahihi kwenye cheti cha ndoa
Bwana harusi Dello
Bwana na Bibi Harusi
bwana na bibi Harusi wakiwa wanameremeta
Dello akimlisha keki mkewe
Kila Kitu kimekwenda poa na jiko nshavuta sasa tugange yajayo
Maarusi wakipewa maelekezo kabla ya kuingia kwenye boti
Mh Balozi akitoa nasaha zake kwa bwana na bibi Harusi.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
Mh Balozi Kallaghe Akiwa na MH Balozi Kapya wakibadilishana mawili matatu
Mh Balozi Kapya na Binti yake wakiingia katika ndani ya Reading Registry Office
Picha ya Pamoja kutoka kwa pande zote za famailia na wadau waliokuja leo kushuhudia Harusi
Pozi baada ya Harusi
Wadau wakijimwaga kwa raha zao
Wakati wa kulisakata Rumba
Zawadi Maalum kutoka kwa Mzee Abdul Dello
No comments:
Post a Comment