King Kiki aliyekuja na Maneno Uvuluge na Andy Swebe na kuongeza safu yake na wanamuziki Lokasa Ya Mbongo na Ngouma Lokito,alipagawisha watu ukumbini hapo na wimbo wa kitambaa cheupe watu wakikumbuka Enzi hizo za White House,Wanakamanyola muziki bila jasho ili mradi ni usiku ulioja chekee chekecha,ilikua raha tupu kweli miaka 50 mitamu.
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar nae hakua mbali na kitambaa cheupe
ukumbi ulilindima kwa mayowe na vifijo kila mtu alikua na kitambaa cheupe
Mama Munanka Naibu Balozi(mwenye batiki ya bluu) nae akicheza kwa furaha kitambaa cheupe
familia ya Brigedia Generali Maganga(mbele ya kamera) wakicheza kitambaa cheupe wakiwa na Watanzania wengine waliohudhulia Gala Dinner ya miaka 50 ya Uhuru,Washington,DC
Bibi na Bwana Khamsini nao wakichenguka na Kitambaa cheupe
1 comment:
kitambaa cheupe ndio mlioyafuata kuendeleza nchi mchezo?
Post a Comment