Akiwa na Mpwa wa VIJIMAMBO BLOG NY Ebra anasema alifurahi kuhuzuria mkutano huo kwani alipata nafasi ya kukutana na watu mambali mbali kutoka kila sehemu na kujionea ni jinsi gani watanzania walivyo na mwamko wa maendeleo. Na pongeza hotuba ya Rais wetu pia aliyo itoa siku ya ufunguzi wa mkutano huo. Tunaomba yale yaliyo ongelewa yaweze kufanikiwa, Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.
No comments:
Post a Comment