ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 26, 2011

UTANI WA JADI SIMBA NA YANGA UGHAIBUNI,BAADA YA MECHI KUAHIRISHWA KUTOKANA NA MVUA

1 comment:

Anonymous said...

Dj luke umeona jinsi ulivyokuwa yanga sawa lakini ww umekimbiza timu kwa sababau simba wamefika uwanjani wakiwa wapo wote kamili na umeona hilo ila kwa sababu umejifanya uwanja umelowa maji ww ulikuwepo uwanjani toka saa tisa ungewapigia watu simu na kuwaambia mapema kwamba hakluna mechi kwa sababu ya uwanja umelowa na una tope tumetoka sana mbali sisi kutoka NORTH CAROLINA kuja kupiga ball ww unajua kabisa kabiosa uwanja umelowa kwa nini usiseme mapema simba wamefika mapema kabla ya yanga na unajua umeogopa ucha unazi .. luke umeogopa na una bahati umekimbiza timu .... na wala usiseme mvua .. kisingizio ....mkereketwa Lunyasi FC NORTH CAROLINA.