Kumbukumbu za Baba Wa Taifa Mwl. Nyerere|URBAN PULSE|
Star Tv na Urban Pulse wanakuletea mahojiano kutoka kwa wadau waishio nchini Uingereza kuhusu mtazamo wao wa kumuenzi baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyeyere tukielekea katika siku ya Nyerere Day. Mahojiano haya yaliwashirikikisha wadau wa UK Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Maina Owino, Francia Chengula na Mr Singo.
No comments:
Post a Comment