MAELEKEZO KUELEKEA Howard University Hospital Basement Auditorium:
1. Ingilia mlango wa mbele wa Hospitali unaotazamana na Georgia Avenue.
2. Pita kwenye dawati la maelezo kwa utambulisho
3. Endelea mbele mpaka kwenye "lift" zilizo kama yadi 50 toka dawati la mapokezi.
4. Chukua "lift" / elevator kuelekea sakafu ya chini (basement).
5. Elekea upande wa kulia ukifuata alama zinazoelekeza ulipo ukumbi.
No comments:
Post a Comment