ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 11, 2011

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO MAALUM CHA SEKTA YA NISHATI IKULU JIJINI DAR LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao maalum cha wadau wa sekta ya nishati nchini kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro/Ikulu.

No comments: