MAGOLI KWENYE MECHI YA TAIFA STARS NA MOROCCO
Matumaini ya Timu ya Taifa ya Tanzania kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya pili, ikiwa ni tangu mwaka 1980 yalizimwa rasmi jana, kwenye Uwanja wa Grand jijini Marrakech, baada ya kupata kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa wenyeji wao Morocco katika mtanange wa kundi D.
No comments:
Post a Comment