ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 12, 2011

Mahojiano na kundi la muziki wa injili la J Sisters


Ndugu wawili kati ya wanne wanaounda kundi la J Sisters wakieleza mengi kuhusu historia ya kundi lao, wakifafanua utata juu ya wao kusikiliza nyimbo za wasanii ambao hawajaokoka, muziki wa injili kwao ni nini, ukabilianaji wa ratiba baina ya shule na huduma, mambo wanayokabiliana nayo kama wasanii wa nyimbo za injili na mengine mengi. Video imezalishwa na Mubelwa Bandio (www.changamotoyetu.blogspot.com) na waliketi na Dada Mary Damian (www.strictlygospel.wordpress.com) KARIBU

No comments: