Juu na chini ni menyu iliyoenda shule ikamaliza madarasa yote,mapishi ya Flora Mochiwa aka madikodiko, anaeishi Houston,Texas kama upo au ukienda Houston usisite mpigie simu 832 893 5034 akupe Direction ukajaribu hii menyu na kama upo nje ya Houston,Texas na unahitaji Vitumbua,maandazi,chapati na makadhalika yote usisite mpigie simu na yeye atakutumia OVER NIGHT popote pale ulipo hapa Marekani. ENDELEA KUPERUZI MENYU HALAFU NIAMBIE UNAIONAJE
6 comments:
Kaka mambo gani yakutoana udenda haya.
Oh my God chakula kinavutia sana
wow! Vyakula vinatamanisha.....inaelekea huyu ni mpishi hodari.
Hivi vyakula vinakumbusha mbali sana. Yaani viko vya kiasili kabisa kutoka nyumbani, Tanzania.
hii menu ni ya restaurant au unafanya order?
jaamani kama kweli paka mlenda upoo minajifungashaga nakuja wajamani mmm sijaula miaka mingi mnanikumbusha mama yangu.
Post a Comment