Advertisements

Tuesday, December 13, 2011

chumba cha kupanga SW WASHINGTON DC

Chumba cha kupanga kinapatikana kuanzia January 1, 2012 huko SW.WASHINGTON DC
Usafiri wa basi na train unapatikana kwa urahisi.Bei ya chumba ni dollar 500 kwa kodi,umeme na maji.
Mhusika anasafirisafiri kila mara hivyo anahitaji mtu muaminifu na atakayelipa bila matatizo.
Kama unahitaji piga simu 301-768-7965

No comments: