ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 2, 2012

Bondia Cosmas Cheka na Mohamed Matumla wakioneshana ufundi wa kurusha masumbwi wakati wa mchezo wao uliofanyika uwanja wa Jamuhuri Morogoro juna Matumla walishinda kwa pointi.
Bondia wa kike Asha Nzoa akishangilia baada ya kutangaza msindi kwa kumtwanga mpinzani wake Salma Kihobwa katika mpambano wa utangulizi kabla ya Mohamedi Matumla na Cosmas cheka awajapanda ulingoni jana katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro. kwa picha zaidi Bofya Hapa

No comments: