ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 13, 2025

BALOZI NCHIMBI NA MONGELLA WAMTEMBELEA MZEE MANGULA


KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Ndugu John Mongella, amemtembelea kwa ajili ya kumsabahi na kumjulia hali Mzee Philip Japhet Mangula, Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu (Bara), nyumbani kwake Msalato, Dodoma, Jumapili tarehe 12 Januari 2025.

No comments: