ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 1, 2012

JK KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE MSOGA

 Picha Juu na chini ni Fashifashi ziking'arisha anga ya kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani ambako Rais Jakaya Kikwete alijumuika na wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011
na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipojumuika nao wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011
na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.

PICHA NA IKULU

No comments: