Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mh. Mwanaidi Maajar (kulia) akiongea jambo na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh (shoto) mwaingine ni Seif Mohamed Ameir mfanyakazi wa Ubalozi wa Oman
Mh. Balozi Mwanaidi Maajar (shoto) akiongea mawili matatu na Mama mwenye nyumba wake Afisa wa Ubalozi Abbas Missana.
Mh. Balozi Mwanaidi Maajar akipiga picha na mmoja wa familia yake.
Mh. Naibu Balozi Mama Munanka (kulia) akiwa na mama mwenye nyumba wake Afisa Ubalozi Dr. Mkama.
Mh. Balozi Mwanaidi Maajar akiangalia picha zilizoenda shule kazi nzuri ya Iska Jojo akiwa na Mh. Naibu Balozi Mama Munanka pamoja na Mama Mkama.
Mh. Balozi akiongea jambo na Edward Taji (shoto) Mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico wengine katika picha ni Mariam Mkama (kati) ambae pia ni Mfanyakazi wa Ubalozi na Henry Kente.
Mh. Balozi akibadirishana mawili matatu na Afisa Ubalozi Fongo.
Dang ambae humwendesha Mh. Balozi akipata picha na mama mwenye nyumba wake.
Mercy Dachi (shoto) akipata picha ya pamoja na Mama mwenye nyumba wake Afisa Ubalozi Edward Masanja.
Mh. Balozi akipiga picha na mmoja ya wafanyakazi wa Ubalozi.
Mh, Balozi wakiwapitia na kuwasabahi wafanyakazi wa Ubalozi kwenye Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka iliyofanyika nyumbani kwake Bethesda, Maryland.
Mama mwenye nyumba wake Mwambata wa Jeshi kwenye Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Brigedia Jenerali Maganga, akipiga picha na mtoto wa Afisa Ubalozi Edward Masanja.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment