ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 3, 2012

CHAKULA CHA HAFLA YA KUUKARIBISHA MWAKA NYUMBANI KWA MH. BALOZI

Mh. Balozi Mwanaidi Maajar (shoto) akiongoza Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi ambao walikuja na familia zao katika Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka 2012 ilyofanyika nyumbani kwake Bethesda, Maryland Jumatatu January 2, 2012.
 Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi waliokuja na familia zao katika Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka 2012 iliyofanyika nyumbani kwa Balozi Bethesda, Maryland.

 Richard Mollel akiwa na mama mwenye nyumba wake katika Hafla ya kuukaribisha mwaka 2012 iliyofanyika nyumbani kwa Mh. Balozi Mwanaidi Maajar Bethesda, Maryland.
 Wafanyakazi wa Ubalozi waliokuja na familia zao katika Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka 2012 iliyofanyika nyumbani kwa Balozi Bethesda, Maryland.
 Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi waliokuja na familia zao katika Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka 2012 iliyofanyika nyumbani kwa Balozi Bethesda, Maryland.
 Wafanyakazi wa Ubalozi waliokuja na familia zao katika Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka 2012 iliyofanyika nyumbani kwa Balozi Bethesda, Maryland.
 Wafanyakazi wa Ubalozi waliokuja na familia zao katika Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka 2012 iliyofanyika nyumbani kwa Balozi Bethesda, Maryland.
 Mama mwenye nyumba wake Afisa Ubalozi Suleiman Saleh akipata chakula kwenye Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka iliyofanyika nyumbani kwa Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
 Seif Mohamed Ameir na Afisa Ubalozi Agnes Lusinde wakijipakulia chakula kwenye Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka 2012.
Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi waliokuja na familia zao katika Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka 2012 iliyofanyika nyumbani kwa Balozi Bethesda, Maryland.
 Iska Jojo akijipatia chakula kwenye Hafla fupi ya kuukaribisha mwaka 2012 iliyofanyika nyumbani kwa Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

1 comment:

layla said...

picha zimependeza sana na misosi inatamanisha mnoo,...