Juu na chini ni Mh. Balozi Mwanaidi Maajar akiitambulisha familia yake kwenye hafla fupi ya kuukaribisha mwaka iliyofanyika nyumbani kwake Bethesda, Maryland Jumatatu January 2, 2012.
Brigedia Jenerali Maganga mwambata wetu Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mh. Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico. Mama Munanka akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Afisa Ubalozi Dr. Mkama akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Afisa Ubalozi Abbas Missana akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Afisa Ubalozi Fongo akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Balozi Mwanaidi Maajar
Afisa Ubalozi Edward Masanja akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar
Afisa Suleiman Saleh akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Afisa Ubalozi Agnes Lusinde akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Afisa Ubalozi Mama Kiju akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
Mfanyakazi wa Ubalozi akijitambulisha na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Rose Mziray Commodore akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Dang akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Mercy Dachi akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Edward Taji akijitambulisha na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Mariam Mkama akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Eliud Mbowe akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Mayor Mlima akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi akijitambulisha na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Richard Morel akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Farida akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi wa Oman Seif Mohamed Ameir akiitambulisha familia yake na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mpwa akijitambulisha na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
Mfanyakazi wa Ubalozi Iska Jojo akijitambulisha na kupiga picha na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar.
No comments:
Post a Comment