ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 2, 2012

MKESHA WA MWAKA MPYA WASHINGTON, DC

 Wadau wa DMV waliojumuika pamoja kwenye mesha wa mwaka mpya siku ya Jumamosi December 31, 2011 kwenye Club ya Tabaq Lounge iliyopo mtaa wa U St, NW, Washington, DC.
 Kutoka kushoto ni Peter Ligate. DMK na Nice Guy wakipata picha ya pamoja.
 Kutoka kulia ni DMK, Khadija Nyang'anyi na Peter Ligate wakipata picha ya pamoja.
 Wadau wakipata picha ya pamoja kwenye mkesha wa mwaka mpya siku ya Jumamosi December 31, 2011 U St, Nw, Washington, DC.
 Kulia ni Peter Ligate akipata picha ya pamoja na wadau waliofika kwenye mkesha wa mwaka mpya uliofanyikia U St, NW, Washington, DC siku ya Jumamosi December 31, 2011 kwenye Club ya Tabaq Lounge.
 Wadau wakipagawika na muziki unaoporomoshwa na Ma-dj mahiri wa DMV
 Mapromota wakipiga picha ya pamoja kutoka kulia ni DMK, NXT LVL na J&P
 Raju (kulia) katika picha ya pamoja na Rachel siku ya mkesha wa mwaka mpya uliofanyikia U St, NW kwenye Club ya Tabaq Lounge.
 Neesha akiwa na baba mwenye nyumba wake, John.
 DMK akipata picha ya pamoja na Nice Guy (kulia)
 DMK akipata picha na Khadija Nyang'anyi (kulia)
 Jerry Mallongo (kulia) akiwa na Peter Ligate.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: