Keki ya kumpongeza Jayden kwenye sherehe ya Ubatizo wake ilizofanyika Jumapili January 1, 2012 kwenye Hotel ya Hampton Inn iliyopo College Park, Maryland.
Jayden akiwa na mama yake kwenye sherehe ya Ubatizo wake ilizofanyika Jumapili January 1, 2012 katika Hotel ya Hampton Inn iliyopo College Park, Maryland.
Mtoto Jayden David Munisi akipata baraka kutoka kwa mchungaji Ferdinand Shideko.
Mama wa Ubatizo akillishwa keki kwenye sherehe ya Ubatizo wa Jayden ilizofanyika Jumapili January 1, 2012 katika Hotel ya Hampton Inn iliyopo College Park, Maryland.
Baraka Daudi akifungua Champagn kwenye sherehe ya Ubatizo ya mtoto Jayden Munisi.
Mshereheshaji Sunday Shomari akiongea jambo kwenye sherehe ya Ubatizo wa Jayden.
Kulia ni Mh. Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mama Munanka akiwa pamoja na Charles Katera na mama mwenye nyumba wake na kadogo wao.
Brigedia Jenerali Maganga mwambata wetu wa jeshi Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico akiwa na mama mwenye nyumba wake, Love Maganga
Mh. Naibu Balozi Mama Munanka akiwa na mzazi wa Baraka Munisi Baba wa Jayden (aliyekaa kati) na Mzazi wake Mke wa Baraka Munisi.
Aunty Tina Magembe akiwa na watoto Leyla (kulia) na mdogo wake.
Evans (shoto) akiwa Stanley.
Ndugu na jamaa wa Baraka Munisi.
Mshereheshaji Sunday Shomari katika Ukodak Moment na shemeji yake.
Mzazi wa Baraka akiwa na wajukuu zake.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
1 comment:
Hongera Pam
Post a Comment