SERENGETI FREIGHT FORWARDERSWAZEE WA KAZIWAKURUGENZI WA SERENGETI FREIGHT
WAKISHIRIKIANA NAMISS JESTINA GEORGE BLOG
BRIGHT FUTURE TZ
PAMOJA NAURBAN PULSEWANAJUMUIKA NA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK KUWAPA POLE WATANZANIA WOTE WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO YALIYOTOKEA JIJINI DARTUNAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE MUISHO UK
HAREMBEE ITAFANYIKA TAREHE 7 JANUARY 2012,
THE PIT STOP 'UWANJA WA NYUMBANI'
721 RIPPLE ROAD
BARKING
IG11 0SN
KUANZIA SAA NANE MCHANA (2PM-LATE)
UNAKARIBISHWA KULETA CHOCHOTE ULICHO NACHO UTAKACHO ONA KINAWEZA KUSAIDIA HAWA NDUGU ZETU WALIOKUMBWA NA KUATHIRIKA NA MAFURIKO.
AU
KAMA KUNA MTU YOYOTE ANATAKA KUTOA MSAADA AULETE OFISINI KWETU (SERENGETI FREIGHT) NA TUTASAFIRISHA KWENDA DAR BURETUNA WAREHOUSE KUBWA ZA KUHIFADHIA MISAADA YA UKUBWA WOWOTELETE MAGODORO NGUO MASUFURIA MICHELE, SABUNI, MAFUTA, SUKARI NA N.K KILA KITU KITAPELEKWAKWA MAWASILIANO ZAIDI KUHUSU MISAADA WASILIANA NAJESTINA GEORGE 07404332910FRANK EYEMBE 07865594576BARAKA NYAMA 07816981577TUNAWASHUKURU NYOTE KWA KUJALI NDUGU ZETUContact us for more info;CHRIS LUKOSI 07903828119SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243BRIAN (BABA NJOROGE) 07795160757HASSAN (RICHARD) 07405159255HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
UPDATE
KWA WALE WAKAZI WA MIKOANI WENYE VIFURUSHI NA MGEPENDA KUCHANGIAILA KUFIKA ITAKUWA TAABU TUNAOMBA MUWASILAINAE NA HAWA WAFUATAO
READING: NDUGU BERNARD CHISUMO (07876126862)
MILTON KEYNES NA WA KARIBU: NDUGU FADHIL DADDIA (07944104289)
MIKOA MINGINE BADO TUNATAFUTA WAWAKILISHI TUTAWAJULISHA MARA TUWAPATAPO.
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
No comments:
Post a Comment