Mahojiano na Anna Mwalagho
Kazi yetu ni kutunza kumbukumbu za wale ambao wanathamini mawazo fikra, mbinu zao kwa manufaa yawengine au vizazi vipya.Msikilize kwa makini Muigizaji, Mchezaji, Mshairi, msimulizi wa hadithi na mwimbaji Anna Mwalagho akieleza mengi kuhusu maisha yake.
Ameeleza alivyoanza mpaka alipofikia, waliomvutia, mafanikio katika kazi na mengine mengi.
Msikilize kwenye mahojiano haya aliyofanya nasi ndani ya studio za Asparagus zilizopo Takoma Park, jimbo la Maryland nchini Marekani
2 comments:
Dada upo juu vibaya sana mama hongera sana yani ni mzuri kweli angalia anavyojuwa kuongea your the best mungu akuongezee kipaji zaidi
Watanzania sasa mjifunze kuipenda na kujivunia lugha yenu. Ona huyu ni mkenya na tena ameishi ulaya miaka mingi na bado anazungumza kiswahili kizuri kuliko wale wenzangu na mie wenye kujifanya wamesahau kiswahili hata kama hawajawahi kutoka nje ya tanzania.
Post a Comment