Advertisements

Sunday, June 8, 2014

HARAMBEE YA KUMCHANGIA NDUGU ERICK BAHUNDE ALIYEPATA AJALI NA KUKATIKA MIGUU NA MKONO

SUNDAY, JUNE 08th, 2014
Eric Bahunde from Luke Joe on Vimeo.
Ndugu yetu Erick Elisha Bahunde ambaye ni mwanajumuiya mwenzetu, kada wetu, baba mzazi na mcheza mpira wetu, alipata ajali akiwa kazini na kukatika miguu yake yote miwili pamoja na mkono wa kushoto mnamo February 2014.
Ndugu, jamaa na Marafiki zake wakishirikiana na Jumuiya ya Watanzania hapa DMV wameandaa harambee ya kumchangia Ndugu Bahunde ili aendelee kujihudumia na kuihudumia familia yake.

AJALI HAINA KINGA NA HUJAFA HUJAUMBIKA”

WATANZANIA WOTE MNAOISHI DMV MNAOMBWA KUHUDHURIA HARAMBEE HII


SIKU NA TAREHE

JUMAPILI TAREHE 8 JUNE 2014 KUANZIA SAA 5:00PM
VENUE
10200 SLIGO CREEK PARKWAY, SILVER SPRING, MD 20902

Kwa wale wa mbali tunaomba mtume michango yenu kwa kutumia Checking Account # 3900681515 Wells Fargo Bank Jina: Elisha  Bahunde.

Amos Cherehani 240-645-2131
Faraja Isingo 301-592-7581

45 comments:

Anonymous said...

Saaaafi saaana lazima tusaidiane Watanzania..si kwenye vifo tu.na si lazima kumjua muhusika au imani yake ni nini. As long as ni mtanzania, ndugu yetu basi tujumuike tumsaidie.

Anonymous said...

jamani nyie mmezidi DMV kwani mtu akipata ajali kazini hamjui kuwa kazi hio itamlipa au ndo hamna liability na kampuni haipo corporated?

Anonymous said...

Wewe anonymous # 2 .Usije omba yakutokee kama yaliyotokea kwa huyu Kaka. Tena Dj Luke watu kama hawa make sure wanatoa majina Yao ili siku yakiwapata tuwafanyie hivyo hivyo. Wewe unauliza swali la kujenga au kubomoa. Mambo ya kampuni haiko corporated yanakuhusu nini wewe? Wewe kama Una chuki binafsi kaa Nazo ILA ujue na lako linakuja na linaweza Kuja kwa njia nyingine kabisa. Muhimu Ni kumsaidia huyu Kaka ili aweze kujisaidia yeye na familia yake. Shida haina mwenyewe, Leo kwangu kesho kwako. Tupendane tushirikiane na tusaidiane. Umoja wetu usiwe wakati wa RAHA Tu ILA na wakati wa SHIDA pia. Sisi tutakuja na kile kidogo au kikubwa tulichonacho tutatoa.

Anonymous said...

Ombi langu ni Kuwa Waaminifu Kwenye hiyo michango, na sio kuchangamkia Harembee ili ninyi Wapiga debe muiwezeshe mifuko yenu! Nimeona sana kwa hizi Jumuiya zetu, watu/ viongozi Hatuna haya!! Watu tunajifanya sympathetic , Kumbe janja tu!! Kudokoa Kama si kuiba zote na kujitangaza !! Pole Ndugu Eric Bahunde !

Anonymous said...

kwani huko DMV ni huyu tu ndio mgonjwa au wapo wengi sasa kwanini nyie waandaaji wa shughuli msimamie kidedea kwa huyu mmoja basi piteni vijumba muone wangapi wagonjwa ww anon wa 3 usimshushue mwenzio bure kumbe wewe unaponea hapo hapo kwenye michango kwi kwi kwi Huyu Bw Elisha wala hajaomba mchango he is well organized nyie tu wenye matumbo open yasioshiba ndo mmenyanyua bendera Luke usibanie hii ni opinion tu na si vinginevyo.

Anonymous said...

Sawa wadau Harambee imeanza na tushikamane mkijuavtu wakobwengibwanaohitaji hizibharambee ndio maana ya kuwa nabjimuiya. Hivi hamjajua kuwa tulioko wengi wetu hata hizi karatasi zinarusumbua je kuna watu wanasaka hata kitambulisho waweze kupata kakibarua yote haya ni majukumu. Tupeane mawazo sio kungijea ya Vyama tuuu!! Tunajiathiri wenyewe kwa wenyewe hapa ughaibuni, kusemana hovyo kwenye blogs hatuendi mbele. UMOJA na HARAMBEEEEE jamani! Mbona kweny muziki tukombeleee. Diamond waaaahhhhh.

Anonymous said...

Naomba nitoe maoni yangu, kama mjuzi wa mambo ya HR, huyu kaka kama alikuwa ameajiriwa na hilo shirika, ataendelea kupkea mshahara wake kama yupo kazini mpka ataapo weza rudi kazini tena. Vile vile, kwa sasa yupo kwenye term dissability mpka atakapo amua kuomba na serikali baada ya hapo. Na kampuni inakuwa responsible for his medical kwa vile ajali imetokea kazini. We anonymous unaemshushua anon#2, nae alikuwa anajaribu kukuelewesha kuhusu responsibility ya kampuni. Hivo nae kama mimi tunajiuliza, kwanini tumchangie, kama mshahara upo pale pale, medical ipo covered, why are we contributing???? Unless mnataka kuleta ukoo wake from Tanzania au una mipango mingne ambayo hamjaiweka wazi, sioni sababu....Ple kaka yetu.

Anonymous said...

Hapa ndiyo DMV banaaa....kila kitu majungu tuu..bila majungu siku haipiti. Mimi nitakuja ila tuambiwe imepatikana kiasi gani ...mambo ya kutoa taarifa baada ya wiki kupita...inaonyesha hali ya utata. Safari hii nakuja na camcoder kabisa kurekodi tukio zima au haziruhuriwi

Anonymous said...

Mimi naomba kuuliza je aliwahi apply social security disability maana lazima watamlipa huyu hata kama kazi haihusiani na ajali as long as alikuwa akifanya kazi kwenye shirika halali.Naomba kuuliza pia je alikuwa hana insurance?Pia ningeomba chonde chonde mtuambie ni nini Zaidi anachohitaji au je hizo pesa akichangiwa atazitumia kwa mahitaji gani maana tunaweza mchangia vitu baada ya pesa tu au nyie ni wale wapesa tu.

Anonymous said...

That is true, kwa wale wenye makaratasi na ninaamini kwa huyu kaka kuajiriwa kufanya kazi ya kuhusika na ndege za abiria analo karatasi na ameajiriwa kama wengi wetu tulivyoajiriwa KUWA UNAPOPATA AJALI KAMA HII tena yakupoteza viungo mwajiri wako atakutunza kwa kila namna kuhakikisha kuwa upo comfortable na familia yote itakuwa taken care. Hawa wanakamati hawamsaidii huyu kaka kama kuna mapungufu kwenye mkataba wake ni kuwa wazi jamani huyu mwenzetu analipiwa nyumba na mshahara lakini tunahitaji the following things. THEN TUTAJUA TUNAMSAIDIAJE. Hapa DMV tumesoma mambo mengi ya ajabu kwenye FB na blogs yanayojitokeza baina ya wanakamati wanaoshughulikia michango ya dharura kuanza kutoleana siri ya ufujaji wa pesa za huyo mwenye tatizo. Na mbona tumekuwa tukito misaada mbali mbali tangu kaka amepata ajali mngeacha kama ilivyokuwa kuliko kuitisha harambeee kama vile alikuwa anafanya kazi chini ya meza na hana haki yeyote au tuchangishe hela tutafute mwanasheria wa kubobea amsaidie kupigania haki zake kama hazijui. HE IS IN GOOD HANDS NA HE IS GOOD, TUACHE UTANI

Anonymous said...

Jamani watanzania tuwe waungwana na tumsaidie huyu kaka. kwanza kwa kuwaelimisha hawa wabwatukaji. kabla ya compensation yoyote huyu kaka atakuwa katika workman compensation ambayo ni 63.3% of what you making at that particular job. You all dont know if the guy had two or three jobs which will amount to zero income. Insurance payments zinachukua muda na ukiwa na tamaa utafanya settlement and once you sign it its all done na kaka huyu in permanently disabled. Huu msaada unaombwa ni katika hiki kipindi cha mpito mpaka mambo yake yawe sawa. kuhusu social security it counts to how many years you have worked in the US probably hiyo social security yake haifiki wala $1000 kwa mwezi.
Ndugu zangu watanzania tutumie busara katika kusaidiana badala kutoa kauli zisifaa kwa kuangalia kwamba hii ajali aliyopata kazini ndio hela yake ya kutokea.
kama huwezi kumsaidia kaa kimya kuliko kutoa comments za maudhi. Waache watu walio na moyo wamsaidie kuliko kuleta ujinga wa ku count what he gonna make out of his misfortune.
Ukweli wa mambo he is permanently disabled and his life has changed forever while yall mothef****kers talk shit.
To sum it to yall haters... Fuck you.
Luke usibanie hii lazima hater waambiwe ukweli wao.

Anonymous said...

Jaman mambo yakampun hauahusu hata ikiwa ni mamilin kutoa ni moyo kama hutak kutoa acha hujalazimishwa

Anonymous said...

acheni majungu nyinyi wabeba box mmekalia mjungu tu kama hutaki kuchanga si upotezee tu maaminaaaa

Anonymous said...

HATUSAIDIANI KWASABABU YA.........
TUNASAIDIANA KWASABABU MSAADA UNAHITAJIKA. KAMA HUWEZI AU UNAKI-
NYONGO{MOYO WA JIWE,ROHOHO YA KOROSHO} USIWASHAWISHI WATU WENYE MOYO WA KUSAIDIA TAFADHALI. HAKI ZA ERICK TOKA KWA MWAJIRI, BIMA YA AFYA AU MAISHA, NK NI ZIADA TUUUUU. KIKUBWA NI MOYO WAKO WA UTOAJI. BADO UJINGA UPO WA KUCHANGIA ZAIDI MAREHEMU KULIKO MGONJWA. KAA PEMBENI KAMA HUWEZI NA UMWOGOPE MUNGU VINGINEVYO UNATAFUTA LAANA MBAYA MNO.

Anonymous said...

Harambee ya huyu jamaa?Kwani amefariki huyu kaka lini?

Anonymous said...

Mr Isingo na Mr Cherehani tafadhalini hebu acheni utani nawaomba sana.

Anonymous said...

I can not wait for Libe kuwa mwenyekiti DMV

Anonymous said...

Why are you people insisting on harambee on kila kitu, clearly this guy worked for big american company who have insurance liability so kama alipata ajali kazini this company will continue to pay him and they can even pay him disability benefit for at least a year similar to the payment they give women when are in maternity leave, secondly he can apply for social security benefit under the circumstances his case worker/social worker can make that happen asap knowing he will not be able to get back to work, if company yake has offered him prosthetic legs and arm they surely continue to finacially support him and top of that atapata compensation so please lets not abuse this harambee, further more kuna program the life insurance that people can take for less than $25 per month to cover the cost of funeral expenses mtu akifa so i dont understand why we dont encourage people to buy insurance to cover funeral expenses and money to help family kama watu hawawezi pia kuna ile program ya bongo its $300-400 per year it cover cost of kupeleka maiti bongo etc why dont people use those progam but ukiwaambia watu wachange kwenye mchango wa harusi thats not a problem hata harusi 10 kwa mwaka watachanga but cant take care of their own affairs, jamani charity begins at home, the economy is still bad so lets help ourselves by helping others, lets use harambee on extreme circumstances

Anonymous said...

Kwa lugha hizi,mnaponza wengine kukosa ladha ya kuchangia,midomo yenye shombo haitakiwi humu!!! PLEASE!!!!!!!

Anonymous said...

Huyu aliyeleta issue ya Liberata kuwa raisi ni nani?? Nani atakayechagua watu wenye jazba na kashfa kutwa kudhalilishana kwenye mitandao. DMV WE KNOW BETTER THAN THAT!!! ETI NASIKIA hii ndo timu yake DOTTO (OMG!) ALEX KASUWI (CAMPAIGN MANANAGER) hawa watu wanapenda sana kutumia blogs na FB KUDHALILISHA WATU.
DMV KAZI KWENU MKILALA MTAINGIZWA SHIMONI!! TUTARUDI KULE KULE TULIPOTOKA (DEAD COMMUNITY).

Anonymous said...

kwa ufupi mimi sitachanga maana tushalipia sana watu rent na mortgage nasubiri tu kuja kuona final amount.

DMV MAJUNGU OYEEE!

Anonymous said...

Yakiwakuta nyie vibwanga,haters ,ndio mtalijua jiji lenu hilo DC mmekua ka watu wa kigogo au niseme manzese kutoa ni moyo kama utaki kaa kimya usiende,huyo jamaa hanaitaji kila msaada wakati mambo yake yanakaa sawa,watu tumepitia halipo unaitaji hadi mtu wa kukupeleka chooni na umlipe

Anonymous said...

Wewe anonymous 6/2 @ 12:49pm unachafua Hali ya hewa kwa Kuita wenzio mazafantaazzz! Puuzi kubwa wewe! Jionee haya mtu mzima ovyoooo! Tunatoa hoja kistaarabu na wewe Chonya tangu Ujue Kizungu cha kutukana imekuwa Shida !! MBURURAZZZZ , everybody is entitled to his opinion and you go flush your dirty mouth in the toilet !

Anonymous said...

WE ANNONIMOUS ULIOTUKANA WATU HILO TUSI TUNALIRUDISHA KWAKO PUMBAFU WEWE HUJUI HATA SOCIAL SECURITY INAFANYAJE KAZI SASA HUYO ASUBIRI MALIPO KWANI NI RETIREMENT HIO JARIBU KUPIGA SSA UULIZE PROCUDURE ZAO UPATE KUELEWA HALAFU UKOME KUTUKANA WATU WAZIMA KICHAA MKUBWA.

Anonymous said...

ISINGO & na CHEREHANI msiwa mind hawa ma haters na mabururazi...siku zote MTI WENYE MATUNDA HURUSHIWA MAWE...ninyi ZIBENI MASIKIO MFANYE KAZI...MWENYEZI MUNGU ATAWALIPA..ILA TUNAOMBA ERICK ALETWE ILI AWAJUE WAZURI NA WABAYA WAKE...HATAKIWI KUWA NA MARAFIKI WANAFIKI...WAKATI WA RAHA WANACHEKA NAWE UKIWA NA SHIDA HUWAONI...NA NDIYO WANAOONGOZA HUMU NDANI KWA COMMENTS AMBAZO HAZINA...LOGIC.

Anonymous said...

Erick haitaji pesa yamtu jamaa huyu hapendi hata kuomba mtu anajitegemea mwenyewe na ni mtu mkarimu sana ila tu watu wengine wanapenda sifa au sijui wanajua DC kuna pesa za bure Obama anagawa au sijui vipi maana hii ya Harambee wameiingiza tu wenyewe na si Erick Sasa naomba mtujulishe pesa ngapi mmepata na mzihesabu hadharani kama kura ili mitaka watu wawaamini DC tumechoka kutapeliwa ooooooooh

Anonymous said...

Kweli huwezi kumfundisha kuku kuvaa viatu,mbona watu wa DMV wagumu kuelewa? huyu jamaa anahitaji upendo,na kupewa moyo lakini mambo ya kifedha yupo saaafi kabisa. tatizo watu wanajua kulipwa lakini hawajui sheria za kazi za hapa. tumuombee ndugu yetu Erick Mungu azidi kumpigania. Ukipata muda muende kumtembelea sio kupiga domo kama kawaida ya Watanzania.

Anonymous said...

Nani kakuambia Erick haihitaji msaada? Hao si wajinga hadi kuamua kuweka Hilo tangazo na kutafuta ukumbi..au ukipata muda nenda Hospitalini ukamuulize endapo anahitaji huu msaada au hahitaji...si vizuri kutumia blogs kama hizi kupotosha jamii na kufanya watu waonekana matapeli..You need to collect data ,analyze and then make conclusion...sio kubwatuka Tu. Hiyo account Ina jina la nani? Au unataka waweke jina laki?

Anonymous said...

Erick is good , he is married to a Doctor. .
she should be able to help until insurance is settled.
So if you wish to contribute, do that if not hey others will..may the Lord give him and his family strength at this difficult time.

Anonymous said...

MMILIKI WA BLOG HII UNAONAJE UKIFUNGA MJADALA HUU WA MAONI. TOO MUCH HATERS ARE TAKING ADVANTAGE TO POLUTE OUR ATMOSPHERE.

MDAU AUSTRALIA

Anonymous said...

jamani hakuna mtu yuko immune na matatizo..kama mnaopinga kumchangia mdogo wetu eric mnaona ni halali ukimaliza comments zako weka na jina lako ili siku ya siku ukipatwa na lako tuangalie circumstances pia. watu wengi wanaodai kuibiwa kwanza sio watoaji.kama ni watoaji ina maana hawajawahi fika hata harambee moja. kama hawajui kuwa pesa huhesabiwa pale pale kama kura that means hawajawahi kuwa part ya watoaji....nashukuru sana kwa watu kujidhalilisha na nafsi zitawasuta for the rest of their lives.

Anonymous said...

Hakukuwa na umuhimu wa kwenda kum record jamani dah.

Anonymous said...

MMESEMA HADI MMECHOKA NA MTACHOKA ZAIDI....HAYA MTASEMA NA HUYO ANAYEONGEA SIYO ERICK...MA..HATERS WOTE KIMYAAA...BORA MMETOA HII KIDEO NAONA MA..HATERS USINGIZI LEO HAWAPATI..UKUBWA WA UMBO LA MWILI NA KICHWA SIYO AKILI NA UPEO WA KUFIKIRIA...USHAURI WA BURE- ...JAMANI MMEKUJA MAREKANI NENDENI SHULE..MA BOX YANA MWISHO WAKE ELIMU HAINA MWISHO....KHAAAA....DJ LUKE USINIBANIE HII BANA.

Anonymous said...

Kweli tumchangie kwa hali na mali. Lkn ajali kazini lazima alipwe hela nyingi na mwajiri wake. Tafuta mwanasheria wa nguvu, and you can still work from home kama wana admin positions nyingine.

Anonymous said...

oooh he is so humble

Anonymous said...


Jamani kwani kampuni anayofanya hawana worker comp? Hii ni lazima kwa kampuni yoyote na ni federal law. Sasa kama wana workers comp inabidi sasa awe analipwa short term disability mpaka atakapo kuwa stable, then kama haku sign any crazy document anaweza kusue hiyo kampuni unless yeye awe ndio aliyefanya negligence kwa kutofuata masharti ya kazi.

Please msichukue hili swala personal, in America information is key. My advise kaka Luka kama mtakuwa mnataka more info please request my email na I will like kusaidia kwenye legal aspects of the case.

Mdau wa Maciradora

Anonymous said...

Ni kweli tunapenda kumchangia tatizo mmepanga karibu na rent mngesongeza kidogo katikati ya mwezi asanteni.

Anonymous said...

Hivi wewe unafikiri huyu jamaa hajui taratibu hadi asome humu kwa hii blog. Eti wakuombe email yako ili usaidie ktk Hili suala. Wabongo sisi kwa kuongea na kuandika Ni hodari kweli kweli ILA ikija kwenye utekelezaji Ni bure kabisa. Wewe njoo Toa mchango kama hauji Ni sawa vile vile hujalazimishwa.

Anonymous said...

Kama kaowa doctor ndio haitaji msaada ndugu yangu bora usije na sioni faida yako kuandika Negative kwa wenye moyo wa kutoa

Anonymous said...

Wewe mdau hapo juu umelewa nini Mimi nahudhuria Harambee nyingi tu na sawa inasemwa kiasi kilichopatikana lakini hakieleweki baada ya hapo sasa kwani mtu ata akisema imepatikana kiasi Fulani kama hakuna kinachofuata ndo nini sasa.We Una hasira na wadau wenzio inavyoelekea.

Anonymous said...

NIMEKUBALIANA NA USHAURI WA MDAU HAPO JUU KUWA WA-TZ WAENDE SHULE JAMANI. HIZI KAZI ZA KUBEBA BOX NA KUHUDUMIA WAZEE(KUCHAMBISHA) ZINA MWISHO WAKE NA MADHARA YAKE NI MAUMIVU YA MGONGO KWA SIKU ZA MBELENI... ILA ELIMU ITAKUTOA HAPO ULIPO. TATIZO WATU WANA HASIRA NA MAISHA KUTOKANA NA KAZI ZAO ZA MBWA. JAMANI KUTOA MCHANGO NI HIARI NA SI LAZIMA NA HAKUNA KIWANGO MAALUMU KILICHOWEKWA NA HULAZIMISHWI KWENDA.. SASA HASIRA ZA NINI???????

Anonymous said...

HATIMAYE VIONGOZI WA CHADEMA NA CCM -DMV WAMEWEKA ITIKADI ZA VYAMA VYAO ILI KUMSAIDIA HUYU KIJANA....SAAAFI SANA, ILA HATUJAONA MWAKILISHI TOKA UKAWA, .JE KULIKONI ? MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA WAISHIO MAREKANI WASIO NA MAJUNGU TU.

Anonymous said...

Lakini mimi nafikiri hivi .mngesema mtu yoyote aliyekuwanacho amfate mwenyewe Eric anakaa hapo dc ayuko hosptali sio kupitia mikononi mwa watu,dunia imebadilka,mtu mwenyewe cherahani.alidai mchango wa marehemu Carol mpaka watu wakashangaa .alitia aibu sasa mnampa wa ERIC shuhuli.

Anonymous said...

DMV NI MWISHO WA YOTE,

Anonymous said...

Jamani kuweni na huruma na huyu mgonjwa mkiwa hamuwaamini wachangishaji basi mpigieni simu mwenyewe mkampatie msaada wowote hizi process za Insurance labda hamuzijui huwaga zina tabu sana kwenye malipo.Msaidieni mwenzenu sio mpaka awaombe.