ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 12, 2012

Jokate alivyoingia kimya kimya katika jiji la wasilolala New York City

 Jokate Mwegelo kulia akiwa na rafiki yake Bea wakipata Ukodak moment mitaa ya Manhattan, New York Jiji lisilolala
 Jokate Mwegelo akikata mitaa ya Manhattan, New York huku akiendelea na shopping katikati ya Jiji
Jokate Mwegelo akipata picha Times Square, New York/
Jokate Mwegelo (kati) akipata picha ya pamoja na rafiki zake.

(Picha na NY Ebra mwakilishi wa Vijimambo New York)

1 comment:

Anonymous said...

Kumbe wakifika huko nao wanabadilika!