ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 25, 2012

AJALI YA NDEGE DRC

Picha  Juu na chini  Hivi ndivo ilivo tokea abiria 24 wote tumenusurika kufa baada ya ndege tulio kuwamo,kugonga jiwe wakati ikitua tarehe 20 siku ya jtano ,na kukatika kama picha zinavo onesha ,mmoja wetu hakufunga mkanda wa usalama ndie aliumia sana, ajali imetokea mpweto ndege ya air strip,DRC kongo ,jimbo la Katanga,  ,
Picha na muakilishi wa Vijimambo DRC Gervas Mwiugune ambae alikuwemo kwenye ndege hiyo

3 comments:

Anonymous said...

Muongo wewe that pict u took it from other blogs...plagarism

Anonymous said...

Kweli nimeamini kuna watu hawapendi maendeleo ya wengine. Wewe hapo juu, how sure you are kama hao ndio waliocopy kwa Luke? Au wajuaje kama huyo mtumaji alituma na kwengineko? Acha hizo wewe roho mbaya haijengi. Mara ngapi Luke huandika from so and so.....? Kama angekuwa amecopy angeandika jina mtu aliyemtumia?.

Anonymous said...

Achana na fala huyo hapo juu vijimambo ina network kila sehemu sasa tumepata mdau yupo mwezini atakuwa anatupa mambo ya huko kabla hatujaenda huko tiketi za safari ya mwezini wasiliana na vijimambo blog.................Mzee truck upo juu.