ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 3, 2012

Bondia wa kike,Lulu Kayege ajifua kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wake


 Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Kondo Nassoro akimfundisha bondia chipukizi wa kike,Lulu Kayege Dar es salaam leo kwa ajili ya kujiandaa  na mashindano ya kumi bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni Dar es salaam

Bondia wa kike,Lulu Kayege akiwa katika pozi bondia huyo  anaenolewa katika Kambi ya Ilala na Makocha wazowefu wa mchezo wa Masumbwi Nchini Habibu Kinyogoli 'Masta, Rajabu Mhamila 'Super D' na Kondo Nassoro kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya masindano mbalimbali nchini

BONDIA LULU AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WADAU WA MCHEZO WA MASUMBWI WAKATI AKITOKA MAZOEZINI

No comments: