ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 3, 2012

YAHAYA ALLY NDOMONDO ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UKATIBU WA SIASA NA UWENEZI TEMEKE

Katibu Msaidizi wa CCM  Wilaya ya Temeka Bi. Anastazia Mwonga kulia akimkabizi fomu ya kugombea Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Temeke kwa Yahaya Ndomondo Dar es salaam jana kwa ajili ya kinyanganyiro cha uchaguzi  Mkuu wa chama hicho

 Katibu Msaidizi wa CCM Bi. Anastazia Mwonga kulia akimkabizi fomu ya ugombea Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Temeke kwa Yahaya Ndomondo Dar es salaam jana kwa ajili ya kinyanganyiro cha uchaguzi wa chama hicho

No comments: