ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 25, 2012

CAROL & KWETU DESIGN WAUPAMBA USIKU WA KITCHEN PARTY

  Juu na chini ni Mapambo ya Da Carol alivyofanya vitu vyake usiku wa Kitchen Party ya Achotto
 KWETU DESIGN BY MISS TEMEKE VIVAZI VYAKE VIMEWAVUTIA WENGI
 Becky akiwa amevaa kivazi ubunifu wake Miss Temeke kutoka kwenye kampuni yake ya KWETU DESIGN
 Watoto wadondosha maua wakiwa nao wametinga vivazi na Vibebea Maua ubunifu wake Missy Temeke
 Baadhi ya waliovaa sare ya kitchen Party Ubunifu wa Missy Temeke
 Missy Temeke akiwa na kadogoo wake nao wakiwa kwenye vivazi ubunifu wake mwenyewe.
Kivazi cha Bi Harusi mtarajiwa nacho ni Ubunifu wake Missy Temeke

1 comment:

Anonymous said...

Babu kubwa keep it up Missy wetu.