Misa Takatifu itafanyika Jumapili Ijayo Julai Mosi, 2012 St. Camilus Catholic Church
1600 St Camillus Drive Silver Spring, MD 20903
(301) 434-8400
MUDA:- Saa 8:30 Mchana (2:30 pm)
Misa itafanyika katika Ukumbi wa Parokia.
Hakutakuwa na kuleta vyakula au viburudisho
siku hiyo.
Tunaomba wajumbe wa kamati ya Muda, tuwe na kikao mara baada ya Misa.
Karibuni wote. Mjulishe na Mwenzio.
Wenye Blog tafadhali tutangazieni.
Wenu
Padri Shao
|
No comments:
Post a Comment