MSHINDI WA KWANZA WA MISS REDDS 2012 MKOANI MBEYA WINFRIDA PAULO MARA BAADA YA KUTANGAZWA USIKU HUU
HAPA AKIVISHWA ILE KOFIA YA USHINDI
AKIWA NA FURAHA MUDA MFUPI BAADA YA KUVISHWA TAJI LA USHINDI
KUTOKA KUSHOTO NI MSHINDI WA PILI ANAITWA SABRINA ABDUL NA KULIA NI MSHINDI WA TATU ANAITWA CAREEN ELIAS
MGENI RASMI MH. GEOFREY ANNANIA AKIMKABIDHI MSHINDI WA KWANZA LAPTOP YENYE THAMANI YA SH 700,000 ZAKITANZANIA
HAPA NDIPO TUMEFIKIA KUWALETEA TUKIO LA LIVE MOJA KWA MOJA KUTOKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA.
TUKIO ZIMA TANGIA MAANDALIZI MPAKA MUDA HUU LILILETWA KWENU NA WATAALAM KUTOKA TONE MEDIA LIVE GROUP WENYE MTANDAO HUU.
PICHA ZOTE ZIMEPIGWA LIVE NA MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU NDUGU JOSEPH MWAISANGO NA KURUSHWA LIVE NA MTAALAM WA MAMBO YA MTANDAO KIJANA FREDY TONY NJEJE.
ASANTENI SANA
No comments:
Post a Comment