Mama mzazi wa Achotto akilia kwa furaha alipokua akipatiwa kapu la mama na watoto, wakwe, ndugu, jamaa na marafiki
"Pole mama" ndivyo wasemavyo somo wa Bi Harusi, Sophia Mombasa (kulia) na Datuu wakijaribu kumtuliza mama yake Achotto alipokua akilia kwa furaha wakati wa kapu la mama.
Ndugu, jamaa na marafiki wakimzawadia mama vitu mbalimbali na kujaza kapu lake.
Ndugu, jamaa na marafiki wakicheza kwa furaha huku wakiendelea kulijaza kapu la mama.
Kitchen Party hiyo ya Achotto na kapu la mama
Madada, mawifi, ndugu, jamaa na marafiki wakiwa na Sanduku lenye zawadi ya Bi Harusi mtarajiwa
Madada, mawifi, ndugu, jamaa na marafiki wakiwasili na sanduku lao tayari kumzawadia Bi Harusi mtarajiwa.
Madada, mawifi, ndugu, jamaa na marafiki wakishuhudia Sanduku linamfikia Bi Harusi mtarajiwa
No comments:
Post a Comment